Waziri mmoja na msimamizi wa shughuli za serikali wamejiuzulu nchini Chad kufuatia kusambaa kwa video za ngono zinazowahusu wawili hao wakiwa na watu wengine. Waziri wa Ulinzi, Daoud Yaya Brahim, na ...