Mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 yanazidi kupamba moto katika mji wa Mweso, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo raia wameuawa katika mapigano hayo, kulingana na ...
Maandamano yamezidi kupamba moto mjini Nairobi, Kenya. Wakenya wanaoyapinga mapendekezo ya mabadiliko ya katiba wamekabiliana tena katika mapigano makali na polisi wa kuzima fujo mjini humo, katika ...
Maelfu ya watu duniani wanafurahia vinyago wanavyonunua madukani ili kupamba mazingira yao. Vinyago hivi vinatengenezwa kutokana na mawe yanayojulikana kama Kisii Soapstone yanayotapatikana katika ...